RITA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini
`
Gharama za udhamini

BEI HUDUMA ZA USAJILI WA UDHAMINI

No.SERVICE DESCRIPTIONFEE/COST (Tanzanian Shillings)
1Taratibu za usajili wa muunganisho ya wadhamini.200,000
  • Idadi ya wadhamini inatakiwa kuwa kati ya 2-10
  • Ada ya usajili wa bodi ya wadhamini Tshs
2Kubadilisha jina la Taasisi
  • Wasilisha nakala ya mukhtasari wa kikao uliopita shwa na mkutano halali kwa mujibu wa Katiba na kuridhia mabadiliko ya Jina la Taasisi husika.
  • Jaza Fomu T1.2 / T1.3
Mahitaji:
  • Wasilisha cheti cha awali cha kusajiliwa kwa Taasisi
  •  Lipa Ada ya Uhakiki jina
50,000
  • Lipa Ada ya Mabadiliko
50,000
3Mabadiliko ya Wadhamini, Katiba au anuani ya Posta
  • Kufanya mabadiliko kati ya yaliotajwa hapo juu
  • Jaza form T1.4/ T1.6/ T1.7
  • Wasilisha nakala ya mukhtasari ilithibitishwa na mktan halali kwa mujibu wa katiba ulioridhia mabadiliko kati ya yaliotajwa hapo juu
  • Ada ya Mabadiliko ya wadhamini
50,000
  • Ada ya mabadiliko ya katiba
100,000
  • Ada ya mabadiliko ya anuani ya posta
50,000
4Kufaili Marejesho ya Wadhamini
  • Wasilisha marejesho ya wadhamini kila mwaka
  •  Jaza Fomu T1.5
  • Lipa Ada
100,000
  •  Penalty/Adhabu kwa kuchelewa kuleta marejesho ya kila mwaka @Trustee per month
10,000
5Upekuzi wa taarifa za wadhamini
  • Wasilisha barua ya maombi ya upekuzi
  •  Lipa Ada
100,000
  • Jaza Fomu T1.7
6Kibali cha Kumiliki Ardhi
  • Kupata Kibali cha Kumiliki Ardhi (Concent) Tsh.
  • Ada ya kibali cha kumiliki mali kwa mali iliobwa zaidi ya mara moja Tshs
100,000
  • Ada ya kibali cha kumiliki ardhi
60,000
7Kuthibitisha Nakala
  • Wasilisha maombi
  • Ada ya uthibitisho (kila nakala) "kwa barua/maombi"
Nakala ya nyaraka yoyote Tshs
  • Ada ya kutoa hati mpya
60,000
  •  Ada ya uthibitisho (kila nakala)
100,000
  •  Ada ya kutoa hati mpya
100,000
Ona Ukurasa Kamili
Washirika wetu
Wadau Wetu